OUR SCHOOLS
Rahma Complex ipo Ngunguti Mkuranga Pwani na inasimamia kutoa huduma za kijamii katika nyenzo mbalimbali ikiwemo kutoa elimu, mafunzo ya ufundi, Huduma za afya na huduma za makazi kwa mayatima.
Rahma Complex ni mkusanyiko wa Majengo yafuatayo:-
1- Shule ya vidudu
2- Shule ya Msingi
3- Shule ya Sekondari
4- Msikiti
5- Ukumbi wa kulia chakula
6- Warsha za mafunzo zipatazo 4 nazo ni( Useremala - Uhunzi - Aluminum na Uzalishaji Mabati)
7- Chuo cha ufundi
8- Bakery
9- Zahanati
10- Ukumbi wa mikutano
11- Store
12 - Nyumba 4 za wageni
Rahma Complex inatoa huduma za elimu kwa wanafunzi mayatima bure kabisa na pia inatoa huduma za afya na kwa kuongezea tu inatoa huduma za umma kama kugawa mikate kwa watu maskini